Ticker

20/recent/ticker-posts

Mjue Messi



 Lionel Andrés "Leo" Messi Cuccittini, ni mchezaji nyota wa kandanda kutoka Argentina, anaecheza kama mshambuliaji katika klabu ya PSG na timu ya taifa ya Argentina. Ameshinda tuzo ya Ballon d'Or mara tano.

Lionel Messi Jumatano alisema anafurahia kujiunga na klabu ya Ufaransa Paris Saint Germain PSG na kwamba yuko tayari kuisaidia timu hiyo kunyakua taji lake la kwanza la Ligi ya Vilabu Bingwa Ulaya, Champions League.

FUATA LINK CHINI HAPA KWA TAARIFA ZAIDI ZA MESSI

https://en.wikipedia.org/wiki/Lionel_Messi

Post a Comment

0 Comments