Ticker

20/recent/ticker-posts

MWALIKO WA MAOMBI YA ZABUNI ZA VIFAA NA HUDUMA MTAMBUKA (VHM) KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23 KUPITIA MIKATABA MAALUM


GPSA yatangaza mwaliko wa maombi ya zabuni.Mwaliko huu wa maombi ya Zabuni huzingatia Tangazo la Jumla la Ununuzi (GPN) kwa ajili ya Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini kwa mwaka wa fedha 2021-2022 lililotolewa katika mfumo wa Ununuzi wa kielektroniki (TANePS) kupitia anuani ya (www.taneps.go.tz) 

KUONA TANGAZO LA MWALIKO COPY IYO LINK HAPO CHINI:

https://www.gpsa.go.tz/uploads/tenders/sw-1647335658-GPSA%20TANGAZO%20MWALIKO%20WA%20MAOMBI%20YA%20ZABUNI%20VHM%202022-23.pdf

Post a Comment

0 Comments