Ticker

20/recent/ticker-posts

Nafasi za Kazi





Ili kuomba kazi hizi mwombaji anatakiwa kusoma tangazo na kulielewa na kisha kutuma maombi yake kama ilivyo elekezwa katika tangazo husika ili maombi yake kufanikiwa.

Mara nyingi kila tangazo hueleza namna wanavyo pokea maombi yao, ila kuna baadhi ya matangazo ya ajira hutaka mwombaji kuwa na profile kwenye mfumo wa SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA maarufu kama Ajira Portal.

Ilikuwa na akaunti kwenye mfumo huo wa ajira portal inakubidi ku- upload  taarifa zako za elimu ikiwemo vyeti vyako kama ilivyo taaluma yako, Kama wewe unaujuzi wa kutumia mifumo unaweza fanya mchakato huu wa kutengeneza akaunti ukiwa mwenyewe ila kama hauna ujuzi na uzoefu Karibu katika ofisi yetu ya Huduma zote za Kimtandao ili kupata huduma hii kikamilifu.

Ofisi yetu iko mjini Mpanda Mkoani Katavi Maeneo ya Bismillah Karibu na Kanisa Kubwa la Anglikana Pembezoni na kijiwe kikubwa cha kahawa.

Tunafanya huduma hii kwa gharama rafiki.

Huduma hii inafanikiwa mteja akiwa na mawasiliano yetu.

Namna ya kufanikisha mchakato huu ni kufika na vyeti vyako vya elimu au kuwasiliana nasi ili kutuma vyeti vyako vya elimu kwa njia ya whatsapp kwa ajili ya kukamilisha mchakato wa kukutengenezea profile katika mfumo wa ajira portal.

Nini faida kuwa na Akaunti Katika mfumo wa ajira ???

Hiii imekuwa tofauti na zamani ukitaka kuomba kazi unatembea na maahasha ya documents zako mbalimbali , ukiwa na akaunti katika mfumo wa maombi ya ajira kinacho baki ni kuandika barua ya maombi tu na kui pakia katika mfumo .

Maelezo ni Marefu ila mchakato ni RAHISI sana fika katika ofisi yetu au wasiliana nasi kwa namba


0756227816    0682329852       0688549930


 

Post a Comment

0 Comments